Dogo Janja – Kidebe

Dogo Janjaro

Dogo Janja – Kidebe

Dogo Janja sasa amekuwa for  real. Hii ngoma ni mwendelezo wa hits juu ya hits ambazo amekuwa akuturushia sisi mashabiki wa muziki. Amekuja kivingine? Sidhani. Style ni ile ile aliyotumia katika ngoma iliyopita (My Life) ila mistari ya humu imesimama zaidi. Binafsi mstari naoupenda sana katika huu wimbo ni huu hapa chini

“Mapenzi ya sinema ni ya Harmonize na Wolper”

Sijui alichotaka tuelewe katika huu mstari but mwisho wa siku umenifurahisha.

Angalia video yake hapa chini

Comments

comments

Shares