Diamond Platnumz asema album yake inayokuja ni ya kimataifa. (video)

Diamond Platnumz
Diamond na Zari the Bosslady

Diamond Platnumz

Katika interview aliyofanya nchini Kenya this week Baba Tiffah ukipenda Chibu Dangote amesema analeta album yake ambayo kimsingi itakuwa ni ya kimataifa. Amesema album hiyo itahusisha wasanii mbalimbali toka nchi tofauti tofuati kuanzia South Africa mpaka Marekani. Diamond ambaye anasafiri kwenda Marekani baada ya kutoka Nairobi anatagemea kufanya maajabu ya mauzo pindi album hiyo itapoingia sokoni.

Ndani ya wiki pamoja na kujua kuwa Simba anakuja na Albam, tumepata kufahamu kuwa ile video ya wimbo wake na Ne-Yo sasa inaenda kushutiwa huko Marekani kuanzia juma lijaloPia ndani ya hii interview tumejifunza kuwa ngoma na NeYo pengine ndo itakayofuata baada ya KIDOGO aliyofanya na P SQUARE

Comments

comments

Shares