DULLY SYKES FT HARMONIZE- INDE (JIWE LA WIKI LA KARIBUNDANI)

Dully-sykes-ft-Harmonize-inde

DULLY SYKES FT HARMONIZE

Kwa sababu zilizo ndani ya uwezo wa KaribuNdani Media, kila siku ya jumatatu tutakuwa tunaweka ngoma bora ya wiki. Lengo ni kusapoti muziki mzuri. Tutakuwa tunaweka post ya ngoma na kutakuwa na video link kwa sidebar itakayokaa wiki nzima. Kwa kuanzia this week, kaka mkubwa Dully Sykes anafungua ukurasa na ngoma yake INDE aliyomshirikisha Harmonize toka Wasafi.

Watch Dully Sykes akifanya yake na Harmonize katika video hii iliyopewa heshima na MTV Base huko South Africa

Comments

comments

Shares