Rayvanny- Natafuta Kiki (Official Video Release)

Rayvanny Natafuta Kiki

Rayvanny Natafuta Kiki

Wadau wamekisubiri sana hiki kichupa, hatimaye kimetoka. Humu ndani sipati picha ingekuwaje kama Rayvanny angefanikiwa kuwapata characters wotealiowaimba.  Just imagine pale anaposema Atoke kwa Wasafi niende kwa Kiba halafu Kiba huyo kaonekana kweli kwenye kichupa. But all in all hiki kichupa ni kitamu . Zaidi ya yote huyu bwana mdogo anajua kucheza aisee.

Comments

comments

Shares