Arsenal Legends vs AC Milan Legends – 4:2 Goals & Highlights (Video)

arsenal legends vs ac milan legendsArsenal Legends vs AC Milan LegendsĀ 

Wikiendi iliyopita, wapenzi wa soka walipata bahati ya kuwaona tena mastaa wao waliostaafu soka wakiwa uwanjani wakicheza mchezo wa hisani. Arsenal Legends vs AC Milan Legends ndo jina lililopewa mchezo huo uliovutia watu wengi sana. Arsenal ikiongozwa na Arsene Wenger ilijaza wachezaji wake wakongwe waliowahi kufanya vizuri kilabuni hapo wakiongozwa Nwanko Kanu ambaye katika mechi alitupia hatrick.

AC Milan nao walijaza wachezaji wao waliowahi kuwika wakiongozwa na mkongwe Vieri lakini hadi mchezo matokeo yalikuwa 4 kwa 2 in favor of Arsenal.

Comments

comments

Shares