Diamond Platnumz – All the way Up (Kionjo)

Diamond Platnumz - All the way Up (Kionjo)

Diamond Platnumz – All the way Up (Kionjo)

Jamaa ni Simba kweli, anafanya kila mtindo wa muziki unaoujua wewe. Kuanzia taarabu, muziki wa asili, muziki wa Dance, Bongo Fleva mpaka Hiphop ingawa haifagilii sana. Diamond ametupa kipande cha remix ya All the Way Up ambayo ni ngoma ya Fat Joe.

Sikiliza hapa chini

Comments

comments

Shares