harmonize wcb hajawahi ona hii nduru ya Kenya (Video)

harmonize wcb

Harmonize WCB waitetemesha Kenya.

Hii shoo nina uhakika haikutegemewa na Harmonize au mtu yeyote wa Wasafi. Nduru iliyopigwa huko Mombasa haijawahi kutokea. Ngoma baada ya ngoma
toka Harmonize ziliwafanya mashabiki wachanganyike muda wote aliokuwa jukwaani. Kama vile haitoshi kuimba, dance alizofanya jukwaani zilinogesha kinoma.

So wakati hawa jamaa wa Wasafi wakifanya kazi kwa juhudi wapo watu wanaodhani wanapendelewa. Lakini ukiiangalia hii video utaona walivyo serious wanapokuwa kazini. Na nina hakika wataendelea kuwa juu kwa kipindi kirefu sana. Kwenye kutafuta hela WCB wako makini. Hate it or Love it, haitabadilisha ukweli.

Comments

comments

Shares