EATV yaendelea kuongoza kwa kutazamwa Tanzania

EATV

Kwa mujibu wa shirika la utafiti GEOPOLL kituo cha televisheni EATV kimeendelea kuwa kivutio kwa waangalia runinga nchini Tanzania baada ya utafiti kutoa majibu hayo. GeoPoll hufanya utafiti wa mara kwa mara kuangalia kituo gani cha TV kinachopendwa zaidi na kwa mara nyingine East Africa Television imeshika nafasi ya kwanza.

Hongereni sana EATV na muendelee kufanya kazi nzuri ya kuburudisha watazamaji.

Comments

comments

Shares