Sauti Sol – Kuliko Jana Featuring RedFourth Chorus (Upper Hill School)

Sauti Sol- Kuliko Jana

Ukiwa unajua unajua tu. Hawa jamaa kila wanapoachia ngoma huwa hawakosei. Mi sina cha kusema ambacho sijawahi kusema kuhusu ubora wa  Sauti Sol. Hii ngoma KULIKO JANA imesheheni ujumbe wa maana balaa na kama we ni msikilizaji mzuri utanielewa.

Enjoy

Comments

comments

Shares