Ipi kali “SALOME” YA DIAMOND PLATNUMZ AU “BANK ALERT” YA PSQUARE? ZOTE TRADITIONAL

Diamond Platnumz na PSquare

Kwakuwa hapa nyumbani Diamond Platnumz hakuna wa kumshindanisha naye, tumeona ni vyema kuangalia nje ya mipaka ambako ndiko hasa anakopata upinzani. Wakati Diamond Platnumz ama Simba Dangote akiachia SALOME, P Square Mapacha wa Kinaija nao walikuwa wakiachia BANK ALERT. Hizi ngoma mbili ukizingalia ni kama Baba Tifah na P Square walikaa chini wakaambizana waachie ngoma za utamaduni (traditional songs) kwa wakati mmoja.

Ukiangalia vizuri utaona hata viewers idadi inakimbizana ingawa wa P Square wana wengi kidogo na hiyo imetokana na kutangulia kuachia ngoma yao siku moja kabla ya Diamond Platnumz. Ila kama tujuavyo Simba ni Simba tu

Sasa nataka tuzingalie zote then tuone ipi kali kati ya hizi ngoma. SALOME au BANK ALERT

SALOME

BANK ALERT

Comments

comments

Shares