Angelina Jolie aomba talaka…Brad Pitt ahuzunishwa na kitendo hicho

brad

One of the best couples in Hollywood is about to split up. Ndio Angelina Jolie na Brad Pitt are no more. Kama ulikuwa ukiwazimia mastaa hawa waliokuwa na mapenzi dhati katika maisha yao, sasa taarifa ikufikie kuwa wanandoa hawa wako njiani kuachana.

tweet

Angelina Jolie ameiomba mahakama nchini Marekani kutoa talaka baada ya kuwa na tofauti zilizoshindikana katika ndoa yao. Hata hivyo, watu wa karibu wanadai kuwa Brad Pitt alikuwa na uhusiano nje ya ndoa yake na muigizaji wa Kifaransa Marion Cotillard

marion-cottilard-interview-2014
Marion Cottilard

Brad Pitt amesema amehuzunishwa sana na hali ingawa kwa sasa anachowaza ni hatima ya matunzo ya watoto wao sita. Imefahamika kwamba Jolie anataka watoto wote sita abaki nao kitu ambacho kinatarajiwa kuwa vita baina ya wawili hao.

Brad na Angelina maarufu kama¬†“Brangelina” walioana 2014 baada ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu toka walipofanya movie yao maarufu ya Mr & Mrs Smith mwaka 2015

ANGALIA TRAILER YA MOVIE ILIYOWAKUTANISHA

Comments

comments

Shares