MAN CITY NA MAN U KUKUTANA TENA KWENYE EFL

Manchester United v Manchester City

Kama vile maumivu hayakutosha kwa Mourinho, droo iliyofanyika ya upangaji timu inamkutanisha tena Jose na mkali wake Pep toka upande wa pili wa jiji  la Manchester. Sidhani kama mashabiki wa Man U walikuwa wanategemea kukutana na Man City katika kipindi kifupi hivi lakini si kitu cha kukwepeka tena hasa baada ya ratiba ya EFL CUP kutoka rasmi. Mechi za raundi ya 16 zinatarajiwa kufanyika wiki ya Oktoba 24.

Droo Kamili hii hapa chini
West Ham v Chelsea
Manchester United v Manchester City
Arsenal v Reading
Liverpool v Tottenham
Bristol City v Hull
Leeds v Norwich
Newcastle v Preston
Southampton v Sunderland

Comments

comments

Shares