WEMA AZIDI KUWACHANGANYA TEAM WEMA. AJIREKODI AKIIMBA SALOME YA DIAMOND

Wema Sepetu

Toka Malkia wa Bongo Movie Wema Sepetu atoe video ya kuikana timu yake maarufu Team Wema, ameonekana kuwa mtu mwenye furaha. Wema sasa hajali chochote kuhusu Timu Wema na katika hali inaonesha kuwachafua mashabiki amepost video inayomuonesha yeye akiimba wimbo wa Salome wa Diamond Platnumz. Hii kwa hakika si habari nzuri kwa mashabiki wake ambao wamekuwa wakimpenda unconditionally.

Wengi wa mashabiki wa Wema Sepetu ni haters wa Diamond Platnumz. Kitendo cha Wema kuimba wimbo wa Salome pasina shaka kitaleta unyonge miongoni mwa Pro Wema fans

Comments

comments

Shares