PROF LIPUMBA NO MORE.. BARAZA KUU LAMFUTA UANACHAMA

Baraza kuu la Uongozi la chama cha CUF

Baraza kuu la Uongozi la chama cha CUF limefikia maamuzi ya kumfuta uanachama Profesa Ibrahimu Lipumba ambaye alikuwa akiutaka uenyekiti wake ambao aliujiuzulu mwaka uliopita. Lipumba amepigiwa kura ya kufukuzwa chamani leo na wajumbe wa baraza hilo lenye mamlaka kufanya maamuzi hayo kikatiba kama Ibara ya 10 (1)(c)  ya katiba ya chama cha CUF inavyojieleza.

Maamuzi hayo sasa yanafunga kurasa ya msunguano uliojitokeza baada ya Prof. Lipumba kutaka arejeshwe kwenye nafasi yake. Msuguano huo ulipamba moto baada ya Msajili wa Vyama vya Siasa kudai kuwa anamtambua Lipumba kama mwenyekiti halali wa chama cha CUF

Comments

comments

Shares