Sallam ajibu tuhuma za Ali Kiba.. Afunguka kile kilichotokea siku ya show ya Chris Brown

Sallam meneja wa Diamond Platnumz

Wiki hii imejaa matukio ya Ali Kiba na Sallam. Willy Tuva wa kipindi cha Mseto nchini Kenya alifanya mahojiano na Ali Kiba ambapo Kiba alilalamikia uwepo wa Sallam meneja wa Diamond Platnumz back stage kitu ambacho kilionekana kama hujuma kwake baada ya kuzimiwa mic.

Katika kukata mzizi wa fitina Willy Tuva akaamua kumtafuta Sallam pamoja na DJ aliyekuwepo siku hiyo ili kumaliza utata. Aliyoyasema Sallam si ya kuhadithiwa. Angalia mwenyewe video hiyo hapo chini.

Comments

comments

Shares