Nina kila sababu ya kuwaelewa NavyKenzo- “Feeling Good” official video

Feel Good- Navy Kenzo

Muziki ni biashara. Miongoni mwa wasanii wachache wanaojua tafsiri ya usemi huu Navy Kenzo nao wamo. Kila siku au kila mara wanapodondosha ngoma unaona kuna hatua wamepiga. Video mpya ya Navy Kenzo FEEL GOOD inaangazia kimataifa zaidi ya pale walipokwisha fika. Hii njaa kwa ufupi inaonekana kwa wasanii wachache sana tulionao hapa Bongo. Hivyo basi, si vibaya hawa wachache walioamua kutufikisha mbali wakapata support yetu ya nguvu.

Naiweka hii video hapa kuwaombea sapoti hawa jamaa. Lets give them some million views kule Youtube basi..

Comments

comments

Shares