“Kaa La Roho”- ya Mabeste ni habari kwako

Kaa la Roho- Mabeste (KaribuNdani Media)

When Mabeste anapokuwa hana stress na kaamua kugonga ngoma ogopa sana. Kila mara huwa nasema kichwa cha Mabeste huwa kinahitaji utulivu tu, na ukipatikana utulivu ngoma anazozalisha huwa ni level ya mbali sana.

Kaa la Roho ni ngoma mpya ya Mabeste yenye hadhi ya Reggae. Katika hii ngoma Mabeste ametuonesha kuwa uwezo wake hauishii kwenye rap/hiphop tu. Binafsi ninafurahishwa na ujio huu wa Mabeste. Keep up the good work bruv!!

 

Comments

comments

Shares