Mpya kutoka kwa Rama Dee.. Kama bado una shaka na Rama Dee hii ngoma inakunyoosha

Rama Dee REMIX-MAZOEA

Ngoma mpya toka kwa Rama Dee imenifikia asubuhi hii. Hii ngoma ina mahadhi ya Sweet Reggae  na ni uthibitisho tosha kuwa Rama Dee anaweza kufanya aina yoyote kwenye muziki na ukapendwa. Leo peke nimeisikiliza hii ngoma zaidi ya mara ya 30 na bado natamani niendelee kuisikiliza tu.

Uwezo aliouonesha Rama Dee humu ni next level. Sikuwahi kudhani kama anaweza kugonga mahadhi ya sweet reggae na akasimama kiasi hiki. Acha nisibwabwaje sana,  sikiliza mwenyewe hapo chini

Comments

comments

Shares