Joh Makini Ft Davido – Kata Leta.. another level

Joh Makini amedondosha ngoma nyingine kivingine akiwa na mkali Davido. Mdundo wa hii ngoma kwa mbali unataka kufanana na Don bother yake mwenywe Joh aliyogonga na AKA na pengine ndo sababu ya hii ngoma kuwa kali sana. Ukimsikiliza Joh humu ndani utagundua jinsi alivyotulia. Anaonekana ni msanii anayelenga soko flani hivi la mbali sana. Davido naye hajatia mambo mengi, ila amegonga chorus moja simple lakini matata sana. Keep doing what you do best Joh!

Comments

comments

Shares