Samatta anatupa burudani sana. Hili Goli alilowafunga Everton, duh balaa

Mbwana Ally Samatta jina lake linazidi kupaa siku hadi siku. Kati ya wachezaji tulio bahatika kupata kama taifa, Samatta ni lulu ya kipekee. Samatta hachoki kujituma wala halewi sifa. Anachotaka katika maisha yake ya soka ni kufika mbali na kwahakika anafanya hivyo kwa vitendo. Kazi nzuri Ally. Kila la heri

Comments

comments

Shares